tangaza nasi bure e-mail: mtumishilinda@gmail.com |
---|
Rachel Njingo amuunga Mkono Wema Sepetu |
Pichani wasanii wa Bongo movies Rachel Njingo kushoto akiwa na Wema Sepetu kulia.
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la msanii wa bongo movies Wema Sepetu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na kuleta mabadiliko.Kapeleke mabadiliko Singida na Tanzania nzima.
Muhimu ni kuwa na juhudi uwezo imani pamoja na uzalendo. Ujumbe huu pia ni kwa kila kijana na mwanamke mwenye lengo na nia ya udhubutu. Mungu amupe nguvu katika nia hii njema. Rachel Njingo alimaliza na kumtakia Wema safari njema ya siasi.
Pichani wasanii Wema Sepetu kushoto akiwa na mpenzi wake wa zamani Diamond kulia.
Moja kati ya waliochangia kwenye andiko hili la Rachel Njingo, ni Diamond Platnumz ambaye alimtaka Wema abadilike kama kweli anautaka ubunge.
“Swala siyo watu kumvunja moyo ,..ila yeye abadilishe akili ya mambo ya kushabiki migogoro ya watu wengine mitandaoni aache..katia aibu sana jana ,katangaza ubunge na bado ana shadadia ugomvi wa Diamond na Davido ,...mbunge ndo wakuwa na akili hii kweli,...watu wanahasira na upuuzi unaofanya na team yake na bado yeye mwenyewe anachochea ...watu watamuachaje....abadilike kama kweli anataka kugombea ubunge”
Le Mutuz Amfagilia Tena Wema!!
Wema Sepetu akiwa na Le Mutuz |
---|
PEACE JAMANI AMANI PEOPLE hata kama humpendi yeye lakini HESHIMU NYOTA YAKE cause tatizo sio yeye ila NYOTA and guys lets support her MBUNGE MTARAJIWA and yes I said it STOP HATING I mean guys TUPENDANE LIIFE IS TOO SHORT narudia huwezi KUMCHUKIA MTU USIYEMJUA NA ASIYEKUHUSU KAMA WEWE BINAFSI SIO A DEAD MAN WALKING mazafantazz ndio maana unataka na WENGINE WAFWE KAMA WEWE ...and wacha hizo CHUKI NA.WIVU WAKO matatizo yako ya maisha ni yako mwenyewe pigana nayo mwenyewe kila mtu ana yake na usieme mambo ya Chuki kayaleta fulani ina maana utaenda mbele ya Mungu useme niliambiwa KUCHUKIA WENGINE NA FULANI? people STOP HATING NOW...IT IS WRONG AND IT IS A SIN! Now Imagine unajaza.bundle kwa hela nyingi ili UKANUNUE DHAMBI hahahaha that is LE MBURULAZZZZ STOP IT NOW! - le Mutuz
@lemutuz_nation on Instagram