watu walio tembelea leo

Rachel Njingo: Niko shule ndomana nipo taratibu1

Nyota wa bongo movies nchini Tanzania  Rachel Njingo ambaye aliwahi kuvuma na filamu ya “Carithalita”  aliongea na Rashindy Omari  katika kipindi cha Best Movies In Africa na kumueleza sababu zilizopelekea kuwa kimya kwenye tasnia ya muziki wa Bongo movies mara kwa mara.


Akizungumza kwenye Best Movies in Africa  ya BMA FM alisema;
“Of course nipo kimya kwa sababu niko masomoni Dodoma ila mitindo nafanya kama kawaida siku za wiki end hata filamu hivyo hivyo naweza nikawa kimya kwenye media lakini kazi zangu bado zinatambulika nje na ndani ya nchi kwa hiyo bado nafanya, lakini kitu ambacho naweza sema kwanini niko busy sasa hivi niliamua kuwa bize na shule.”
“Kwa hiyo pamoja huku nasoma pia nina filamu mpya siwezi kuuzungumzia ila bado upo katika matayarisho yaani studio,” aliongeza