watu walio tembelea leo

Wema: Yangu ya Pili na Van Vicker Hapa Bongo,Yote Itakuwa ya Kiingereza



Wema: Yangu ya Pili na Van Vicker Hapa Bongo,Yote Itakuwa ya Kiingereza
tembelea
Tembelea : www.batarokota.blogspot.com
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema filamu ya pili atakayofanya na muigizaji kutoka Ghana, Van Vicker itakuwa ya Kiingereza pia.

Wema ameiambia blog hii kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuifanya filamu hiyo iwe ya kimataifa zaidi.
“Atakuja atakaa kama for three weeks, tutafanya audition, kwasababu tunataka kufanya movie ambayo itakuwa ni straight English. Tutaweka subtitles za Kiswahili lakini tutakuwa tunaongea lugha ya Kiingereza,” alisema Wema.

“Lengo ni kuwa international, kutoka na soko la nyumbani.”