watu walio tembelea leo

Rachel Njingo: Namimi Nakuja Kugombea Urais Tanzania!


Je Ungependa kumjua zaidi Rachel Njingo ?
Tembelea :http://rachelnjingo.blogspot.com/
Staa wa Bongo Movies Tanzania na Afrika Mashariki , Rachel Njingo ambaye kwa sasa yuko masomoni Dodoma ameonesha nia yake ya kurudi ya kuja kuwania urais baada ya kumaliza masomo yake.Rachel Njingo ameyaseme hayo kupitia blogu yake ya  :http://rachelnjingo.blogspot.com/  ambapo alianza kwa kuwapongeza wasanii wenzake wote walioamua kujikita kwenye siasa .
“Semeni wasanii bongo tunaweza, hongereni wote wasanii mlioamua kujikita kwenye siasa na mimi nakuja huko kuchukua urais Tanzania”- Rachel Njingo  ameandika :http://rachelnjingo.blogspot.com/.
Kila la kheri Rachel Njingo.