watu walio tembelea leo

Rachel Njingo kutoka na Kidudumtu wiki ijayo!

Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo, filamu na muziki, Rachel Njingo  kutoka nchini Tanzania maeneo ya Dodoma katika ya Tanzania kwa mara njingine wiki ijayo kabla ya mwezi wa sita kwisha aja na ujio mpya  filamu Kidudumtu.


 Rachel Njingo katika pose
Akigungumza na blog  http://batarokota.blogspot.com/ Rachel Njingo alisema `filamu mpya inakuja nimeshirikishwa na wasanii kidao na inaitwa  Kidudumtu filamu hii inatarajia kuwa hewani mwezi huu Mwisho, hivyo washabiki wangu wasubirie ujuo wa filamu hii kwa hamu` alisema Rachel Njingi akiwa Dodoma nchini Tanzania.