
Slide Entertainment present Rachael Njingo |
---|
rachelnjingo@gmail.com |
Nimeamua kwa dhati kuingia kwa dhati katika sanaa ya filamu,mitindo na mziki kwa kuwa na kipaji nilicho pewa na Mungu .
Ili nifanikiwe katika hili nahitaji mchango wenu wa mawazo, hali na mali. Najua kila mmoja ana mchango wake katika kulifanikisha hili ili niinuke kimataifa zaidi na kutangaza nchi yangu Tanzania popote Ulimwenguni kupitia sanaa.
Naomba nitumie nafasi hii kuwaombeni wote michango yenu bila kujali itikadi, jinsia, umri au kigezo chochote. Mchango wako wowote utananisogeza karibu kufikia lengo langu.
Tafadhali kwa anayependa kuchangia anaweza kutuma mchango kupitia baruapepe: rachelnjingo@gmail.com
ambayo niyangu binafsi... Asanteni sana...
Rachel on instagram